Yer. 49:10 SUV

10 Lakini nimemwacha Esau hana kitu, nimepafunua mahali pake pa siri, wala hataweza kujificha; kizazi chake kimeangamizwa, na ndugu zake, na jirani zake, naye mwenyewe hayuko.

Kusoma sura kamili Yer. 49

Mtazamo Yer. 49:10 katika mazingira