Yer. 49:9 SUV

9 Je! Kama wachuma zabibu wangekujia, wasingeacha zabibu ziokotwe? Kama wangekujia wevi usiku, wasingeharibu hata watakapopata vya kutosha?

Kusoma sura kamili Yer. 49

Mtazamo Yer. 49:9 katika mazingira