Yer. 49:36 SUV

36 Na juu ya Elamu nitazileta pepo nne, toka pembe nne za mbinguni, nami nitawatawanya hata pepo nne zote, wala hapana taifa ambalo hawatalifikilia watu wa Elamu waliofukuzwa.

Kusoma sura kamili Yer. 49

Mtazamo Yer. 49:36 katika mazingira