Yer. 49:37 SUV

37 Nami nitawafadhaisha watu wa Elamu mbele ya adui zao, na mbele ya hao wanaowatafuta roho zao; nami nitawaletea mabaya, naam, hasira yangu kali, asema BWANA; nami nitautuma upanga uwafuatie, hata nitakapowaangamiza;

Kusoma sura kamili Yer. 49

Mtazamo Yer. 49:37 katika mazingira