19 Nami nitamleta Israeli tena malishoni kwake, naye atalisha juu ya Karmeli, na Bashani, na nafsi yake itashiba juu ya milima ya Efraimu, na katika Gileadi.
Kusoma sura kamili Yer. 50
Mtazamo Yer. 50:19 katika mazingira