Yer. 50:20 SUV

20 Katika siku hizo na wakati huo, asema BWANA, uovu wa Israeli utatafutwa, wala uovu hapana; na dhambi za Yuda zitatafutwa, wala hazitaonekana; maana nitawasamehe wale niwaachao kuwa mabaki.

Kusoma sura kamili Yer. 50

Mtazamo Yer. 50:20 katika mazingira