21 Panda juu ya nchi ya Merathaimu, naam, juu yake, na juu yao wakaao Pekodi; ua, ukaangamize nyuma yao, asema BWANA, ukatende kama nilivyokuagiza, yote pia.
Kusoma sura kamili Yer. 50
Mtazamo Yer. 50:21 katika mazingira