Yer. 50:2 SUV

2 Tangazeni katika mataifa,Mkahubiri na kutweka bendera;Hubirini, msifiche, semeni,Babeli umetwaliwa!Beli amefedheheka;Merodaki amefadhaika;Sanamu zake zimeaibishwa,Vinyago vyake vimefadhaika.

Kusoma sura kamili Yer. 50

Mtazamo Yer. 50:2 katika mazingira