Yer. 50:3 SUV

3 Maana toka kaskazini taifa linakuja juu yake, litakaloifanya nchi yake kuwa ukiwa; wala hapana mtu atakayekaa humo; wamekimbia, wamekwenda zao, mwanadamu na mnyama pia.

Kusoma sura kamili Yer. 50

Mtazamo Yer. 50:3 katika mazingira