25 BWANA amefungua akiba yake ya silaha, naye amezitoa silaha za ghadhabu yake; maana Bwana, BWANA wa majeshi, ana kazi atakayofanya katika nchi ya Wakaldayo.
Kusoma sura kamili Yer. 50
Mtazamo Yer. 50:25 katika mazingira