24 Nimekutegea mtego, Ee Babeli, nawe ukanaswa, nawe ulikuwa huna habari; umeonekana, ukakamatwa, kwa sababu ulishindana na BWANA.
Kusoma sura kamili Yer. 50
Mtazamo Yer. 50:24 katika mazingira