Yer. 50:32 SUV

32 Na mwenye kiburi atajikwaa, na kuanguka, wala hapana atakayemwinua; nami nitawasha moto katika miji yake, nao utawala wote wamzungukao pande zote.

Kusoma sura kamili Yer. 50

Mtazamo Yer. 50:32 katika mazingira