Yer. 50:33 SUV

33 BWANA wa majeshi asema hivi, Wana wa Israeli, na wana wa Yuda, wameonewa pamoja; na wote waliowachukua mateka wanawashika sana; wanakataa kuwaacha.

Kusoma sura kamili Yer. 50

Mtazamo Yer. 50:33 katika mazingira