Yer. 50:42 SUV

42 Wanashika upinde na mkuki;Ni wakatili, hawana huruma;Sauti yao inanguruma kama bahari,Nao wamepanda farasi;Kila mmoja amejipanga kama aendaye vitani,Juu yako, Ee binti Babeli.

Kusoma sura kamili Yer. 50

Mtazamo Yer. 50:42 katika mazingira