43 Mfalme wa Babeli amesikia habari zao,Na mikono yake imekuwa dhaifu;Dhiki imemshika, na maumivu,Kama ya mwanamke katika utungu wake.
Kusoma sura kamili Yer. 50
Mtazamo Yer. 50:43 katika mazingira