5 Watauliza habari za Sayuni, na nyuso zao zitaelekea huko, wakisema, Njoni ninyi, mjiunge na BWANA, kwa agano la milele ambalo halitasahauliwa.
Kusoma sura kamili Yer. 50
Mtazamo Yer. 50:5 katika mazingira