6 Watu wangu wamekuwa kondoo waliopotea, wachungaji wao wamewapoteza; wamewapotosha milimani; wamekwenda toka mlima hata kilima, wamesahau mahali pao pa kupumzika.
Kusoma sura kamili Yer. 50
Mtazamo Yer. 50:6 katika mazingira