Yer. 51:29 SUV

29 Nayo nchi yatetemeka, nayo ina utungu; maana makusudi ya BWANA juu ya Babeli yasimama, kuifanya nchi ya Babeli ukiwa, isikaliwe na mtu.

Kusoma sura kamili Yer. 51

Mtazamo Yer. 51:29 katika mazingira