Yer. 51:30 SUV

30 Mashujaa wa Babeli wameacha kupigana;Wanakaa katika ngome zao;Ushujaa wao umewapungukia;Wamekuwa kama wanawake;Makao yake yameteketea;Makomeo yake yamevunjika.

Kusoma sura kamili Yer. 51

Mtazamo Yer. 51:30 katika mazingira