Yer. 51:31 SUV

31 Tarishi mmoja atapiga mbio kumlaki mwingine,Na mjumbe mmoja atapiga mbio kumlaki mwenziwe,Ili kumpasha habari mfalme wa Babeli,Ya kuwa mji wake umetwaliwa kila upande.

Kusoma sura kamili Yer. 51

Mtazamo Yer. 51:31 katika mazingira