Yer. 51:6 SUV

6 Kimbieni kutoka kati ya Babeli, kila mtu na ajiokoe nafsi yake; msikatiliwe mbali katika uovu wake; maana ni wakati wa kisasi cha BWANA, atamlipa malipo.

Kusoma sura kamili Yer. 51

Mtazamo Yer. 51:6 katika mazingira