Yer. 51:7 SUV

7 Babeli umekuwa kikombe cha dhahabu mkononi mwa BWANA; kilicholevya dunia yote; mataifa wamekunywa mvinyo wake; kwa sababu hiyo mataifa wameingiwa na wazimu.

Kusoma sura kamili Yer. 51

Mtazamo Yer. 51:7 katika mazingira