Yer. 52:11 SUV

11 Akampofusha macho Sedekia; tena mfalme wa Babeli akamfunga kwa pingu, akamchukua mpaka Babeli, akamtia gerezani hata siku ya kufa kwake.

Kusoma sura kamili Yer. 52

Mtazamo Yer. 52:11 katika mazingira