Yer. 52:20 SUV

20 Nguzo mbili, bahari moja, na ng’ombe kumi na mbili za shaba zilizokuwa chini ya matako yake, ambavyo mfalme Sulemani aliifanyia nyumba ya BWANA; shaba ya vitu hivyo vyote ilikuwa haiwezi kupimwa kwa kuwa nyingi sana.

Kusoma sura kamili Yer. 52

Mtazamo Yer. 52:20 katika mazingira