Yer. 52:21 SUV

21 Na nguzo hizo, urefu wa nguzo moja ulikuwa dhiraa kumi na nane, na uzi wa dhiraa kumi na mbili ungeweza kuizunguka; na unene wake ulikuwa nyanda nne; nayo ilikuwa ya uvungu.

Kusoma sura kamili Yer. 52

Mtazamo Yer. 52:21 katika mazingira