Yer. 52:9 SUV

9 Nao wakamshika mfalme, wakamchukua kwa mfalme wa Babeli, aliyekuwa huko Ribla katika nchi ya Hamathi, naye akatoa hukumu juu yake.

Kusoma sura kamili Yer. 52

Mtazamo Yer. 52:9 katika mazingira