Yer. 6:10 SUV

10 Niseme na nani na kushuhudia, wapate kusikia? Tazama, sikio lao halikutahiriwa, wala hawawezi kusikiliza; tazama, neno la BWANA limekuwa matukano kwao; hawalifurahii.

Kusoma sura kamili Yer. 6

Mtazamo Yer. 6:10 katika mazingira