Yer. 6:13 SUV

13 Kwa maana, tangu aliye mdogo hata aliye mkubwa miongoni mwao, kila mmoja ni mtamanifu; na, tangu nabii hata kuhani, kila mmoja hutenda mambo ya udanganyifu.

Kusoma sura kamili Yer. 6

Mtazamo Yer. 6:13 katika mazingira