Yer. 6:12 SUV

12 Na nyumba zao zitakuwa mali za watu wengine, mashamba yao na wake zao pamoja; kwa kuwa nitaunyosha mkono wangu juu ya wenyeji wa nchi hii, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Yer. 6

Mtazamo Yer. 6:12 katika mazingira