Yer. 7:12 SUV

12 Lakini enendeni sasa hata mahali pangu palipokuwapo katika Shilo, nilipolikalisha jina langu hapo kwanza, mkaone nilivyopatenda kwa sababu ya uovu wa watu wangu Israeli.

Kusoma sura kamili Yer. 7

Mtazamo Yer. 7:12 katika mazingira