Yer. 7:13 SUV

13 Na sasa, kwa sababu mmezifanya kazi hizi zote asema BWANA, nami nikasema nanyi, nikiamka mapema na kunena, lakini hamkusikia; nami nikawaita wala hamkuniitikia;

Kusoma sura kamili Yer. 7

Mtazamo Yer. 7:13 katika mazingira