2 Simama langoni pa nyumba ya BWANA, ukatangaze hapo neno hili, ukisema, Sikilizeni neno la BWANA, ninyi nyote wa Yuda, mnaoingia katika malango haya ili kumwabudu BWANA.
Kusoma sura kamili Yer. 7
Mtazamo Yer. 7:2 katika mazingira