Yer. 7:23 SUV

23 lakini naliwaamuru neno hili, nikisema, Sikilizeni sauti yangu, nami nitakuwa Mungu wenu nanyi mtakuwa watu wangu; mkaende katika njia ile yote nitakayowaamuru mpate kufanikiwa.

Kusoma sura kamili Yer. 7

Mtazamo Yer. 7:23 katika mazingira