24 Lakini hawakusikiliza, wala kutega sikio lao, bali walikwenda kwa mashauri yao wenyewe, na kwa ushupavu wa mioyo yao mibaya, wakaenda nyuma wala si mbele.
Kusoma sura kamili Yer. 7
Mtazamo Yer. 7:24 katika mazingira