Yer. 8:7 SUV

7 Naam, koikoi angani ajua nyakati zake zilizoamriwa; na hua na mbayuwayu na korongo huangalia wakati wa kuja kwao; bali watu wangu hawazijui amri za BWANA.

Kusoma sura kamili Yer. 8

Mtazamo Yer. 8:7 katika mazingira