Yer. 9:13 SUV

13 Naye BWANA asema, Ni kwa sababu wameiacha sheria yangu niliyoweka mbele yao, wala hawakuitii sauti yangu, wala kuenenda katika hiyo;

Kusoma sura kamili Yer. 9

Mtazamo Yer. 9:13 katika mazingira