Yer. 9:12 SUV

12 Ni nani aliye na hekima, apate kuelewa na haya? Tena ni nani ambaye kinywa cha BWANA kimesema naye, apate kuyatangaza? Nayo ni nini maana yake nchi hii kuharibika, na kuteketea kama nyika, asipite mtu?

Kusoma sura kamili Yer. 9

Mtazamo Yer. 9:12 katika mazingira