Yer. 9:2 SUV

2 Laiti ningekuwa na mahali pa kukaa jangwani, kibanda cha wasafiri; nipate kuwaacha watu wangu, na kuondoka kwao! Maana wao ni wazinzi, wote pia, mkutano wa watu wenye hiana.

Kusoma sura kamili Yer. 9

Mtazamo Yer. 9:2 katika mazingira