Yer. 9:3 SUV

3 Huupinda ulimi wao, kana kwamba ni upinde, ili kusema uongo; nao wamepata nguvu katika nchi, lakini si katika uaminifu; maana huendelea toka ubaya hata ubaya, wala hawanijui mimi, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Yer. 9

Mtazamo Yer. 9:3 katika mazingira