Yos. 18:10 SUV

10 Kisha Yoshua akapiga kura kwa ajili yao hapo mbele za BWANA katika Shilo; huko Yoshua akawagawanyia wana wa Israeli hiyo nchi sawasawa na mafungu yao.

Kusoma sura kamili Yos. 18

Mtazamo Yos. 18:10 katika mazingira