Yos. 18:11 SUV

11 Kisha ilizuka kura ya kabila ya wana wa Benyamini kwa kuandama jamaa zao; na mpaka wa hiyo kura yao ukatokea kati ya wana wa Yuda na wana wa Yusufu.

Kusoma sura kamili Yos. 18

Mtazamo Yos. 18:11 katika mazingira