1 Mambo Ya Nyakati 10:4 BHN

4 Ndipo Shauli alipomwambia mtu aliyembebea silaha, “Chomoa upanga wako unichome nife, ili watu hawa wasiotahiriwa wasije wakanidhihaki.” Lakini huyo aliyembebea silaha hakuthubutu; kwa sababu aliogopa sana. Hivyo, Shauli alichukua upanga wake mwenyewe akauangukia.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 10

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 10:4 katika mazingira