1 Mambo Ya Nyakati 10:5 BHN

5 Halafu yule aliyembebea silaha alipoona kuwa Shauli amekufa, naye pia akauangukia upanga wake, akafa.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 10

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 10:5 katika mazingira