1 Mambo Ya Nyakati 11:5 BHN

5 Wakazi wa Yebusi walimwambia Daudi, “Hutaingia katika mji huu.” Hata hivyo, Daudi aliiteka ngome ya Siyoni, yaani mji wa Daudi.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 11

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 11:5 katika mazingira