1 Mambo Ya Nyakati 11:6 BHN

6 Ndipo Daudi akasema, “Mtu atakayetangulia kuwapiga Wayebusi, atakuwa mkuu na kamanda jeshini.” Basi Yoabu, mwana wa Seruya, akawa wa kwanza kuwashambulia, hivyo akawa mkuu.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 11

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 11:6 katika mazingira