8 Daudi na Waisraeli wote wakawa wanacheza kwa nguvu zao zote, mbele ya Mungu. Waliimba huku wanapiga ala za muziki zilizotengenezwa kwa mvinje: Vinubi, vinanda, matari, matoazi na tarumbeta.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 13
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 13:8 katika mazingira