1 Mambo Ya Nyakati 16:36 BHN

36 Asifiwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli,tangu milele na hata milele!Kisha watu wote wakasema, “Amina!” Pia wakamsifu Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 16

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 16:36 katika mazingira