1 Mambo Ya Nyakati 17:11 BHN

11 Siku zako zitakapotimia za kujiunga na babu zako, nitamfanya mmoja wa watoto wako, wewe mwenyewe awe mfalme; nami nitauimarisha ufalme wake.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 17

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 17:11 katika mazingira