6 Halafu Daudi aliweka kambi za kijeshi katika mji wa Shamu ya Damasko. Basi Waaramu wakawa watumishi wake, na wakawa wanalipa kodi. Mwenyezi-Mungu alimpa Daudi ushindi kokote alikokwenda.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 18
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 18:6 katika mazingira