1 Mambo Ya Nyakati 18:7 BHN

7 Daudi alizichukua ngao za dhahabu walizobeba wanajeshi wa Hadadezeri, na kuzipeleka Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 18

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 18:7 katika mazingira